Hapana bro,,nilitegemea taarifa zake kutoka kwakoAu taarifa zake unazo ??? Bro
Salama carba,habar za uzima??Mambo ninge
Eid mubarak
Heshima yako mkuuNiambie kamanda.
Amen.Huyu Dada amekutwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha pamoja na yote dada huyu ndugu zake hawajulikani!Anajulikana kwa jina la Rehema Atanas Kidaye au Rose ,Na leo hii anazikwa na marafiki na majirani zake maeneo ya Mwananyamala..!! Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahala Pema peponi. Wote tuseme #AMEN #RIP 😢View attachment 1117539
Nipo kamanda.Heshima yako mkuu