myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
π€£Utaileta eeh?Nakuja nayo kwako kesho usijali π π
πππSipati picha wanaendana kabisa. Kwa deksripishen ya bro bint katulia vizuri,bwana kiduku nae yupo poa na suruali zake za mpasuko sijui panya wanafanyaga yao anasingizia fashen uwiiiii huu uzii umebeba mboga saba wa maana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nianze kupiga hela? Nikianza kuchaji dola 50 kwa kila anayeitaka si ninaweza kupata hata pesa ya kununua ka iPhone kabisa?[emoji16] Nimeukosaje ubuyu? Iko wapi hiyo picha jameni...
πππ
#Leokaziipo
πββοΈ πββοΈ
Hahah! Mwezi unaisha huu trend zinarudi kwa wenyewe huko Nyanda za juuπ€£π€£π€£ Umetrendi mwezi huu kama Jacqueline wa Machache!
Weka ka ushahidi tukuaminiSijui nianze kupiga hela? Nikianza kuchaji dola 50 kwa kila anayeitaka si ninaweza kupata hata pesa ya kununua ka iPhone kabisa?
Picha ni moto balaa na tangu nizaliwe sijawahi kuona mtoto mkali kama huyu wallahi. Dondosha $50 nikurushie fasta ushuhudie uumbaji wa Mola uliotukuka..
Shukrani mpendwaKaribu Mpendwa! Kesho ni kula tyuuu..
Halafu tumbo bwana unaanza kusikia njaa asubuhi kama ulikuwa haufungi vile...
Ana bahati uzi huu siku hizi umepoa sana (only 2 active players). Ingekuwa purukushani za wakati ule akina KK, Bob12 na magwiji wengine wako hapa mweh! Hata mbwembwe zake na mikwara ya iPhone isingesaidia kitu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe unaogopa kuibiwa ee
Hahahaha best ukuje basi pm unipe huo ubuyu na mimi πππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Nshakuja tatizo mafolder yalijichanganya na usingizi nikakosa ubuyu
Angeibiwa mchana kweupeee abaki mpole tu kama cole.[emoji23][emoji23][emoji23]Ana bahati uzi huu siku hizi umepoa sana (only 2 active players). Ingekuwa purukushani za wakati ule akina KK, Bob12 na magwiji wengine wako hapa mweh! Hata mbwembwe zake na mikwara ya iPhone isingesaidia kitu [emoji16][emoji16][emoji16]
Coco mwenyewe alijuaje kuwa huyo ni wifi na siyo picha tu ya maslei kwini wa IG? Mi niliiona wala sikujali mpaka Coco alipoanza kumshtua King mwenyewe ndo nikashtuka nikarudi na kuisevu fasta [emoji16][emoji16][emoji16]Katukosesha ubuyu
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa bro upo ila uwe na dola 50 unarushiwa na picha kabisaaaHahahaha best ukuje basi pm unipe huo ubuyu na mimi πππ
Brother yupi mpendwa?[emoji23][emoji23][emoji23]kwa bro upo ila uwe na dola 50 unarushiwa na picha kabisaaa
Maua nilimkabidhi tangu jana...Dah hata maua hakuna Poti unataka mpunga tu?
Daah! Kesho nitakua ugenini ila itabidi tu nicheze na simu muda wote mana kweli nikipotea zitaungwa dots za uongo alafu zitaunlockKesho ndo kesho ukipotea humu tu watu tunaanza kuhesabu misemo ya jirani msimu wa kilimo,mchana wa piiipiiii,usiku wa kupeana,siku ya ujiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuona tu πWeka ka ushahidi tukuamini
Bro picha za davet zinajulikana tu siku akikosea ukabahatika kuiona utagundua. Ila coco ni shida sijui aligunduaje au alishatambulishwa akakariri kucha[emoji23][emoji23][emoji23]Coco mwenyewe alijuaje kuwa huyo ni wifi na siyo picha tu ya maslei kwini wa IG? Mi niliiona wala sikujali mpaka Coco alipoanza kumshtua King mwenyewe ndo nikashtuka nikarudi na kuisevu fasta [emoji16][emoji16][emoji16]
Kaka yangu kipenzi najua nikiomba kitu huwezi kataa πππCoco mwenyewe alijuaje kuwa huyo ni wifi na siyo picha tu ya maslei kwini wa IG? Mi niliiona wala sikujali mpaka Coco alipoanza kumshtua King mwenyewe ndo nikashtuka nikarudi na kuisevu fasta [emoji16][emoji16][emoji16]
Woyoooo ugenini hadi raha uturushie picha za madikodiko eeDaah! Kesho nitakua ugenini ila itabidi tu nicheze na simu muda wote mana kweli nikipotea zitaungwa dots za uongo alafu zitaunlock
πππ