π€£π€£π€£ Bro ameshindwa kulalaaaa! Ahahaaa Davet wewe!Sipati picha wanaendana kabisa. Kwa deksripishen ya bro bint katulia vizuri,bwana kiduku nae yupo poa na suruali zake za mpasuko sijui panya wanafanyaga yao anasingizia fashen uwiiiii huu uzii umebeba mboga saba wa maana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuona tu π
πππHahahaha best ukuje basi pm unipe huo ubuyu na mimi πππ
Hivi huu ubuyu una kuhusu au ni Capitalpool sijaelewa nakoment bila kujua πππππ
Cole alipigwa mchana kweupe akageuka kuwa Mfalme Suleiman na kuanza parables na mapambio. Hata Ankoo naye alibakiza kidogo anyang'anywe Nsamaka wake na KK na Moud. Mi kidogo Kitoo wangu atwaliwe na Bob 12 (Baba Viv). Wakati ule ilikuwa ukipotea masaa mawili unakuta jamaa wanataka kufanya yao...[emoji16][emoji16][emoji16]Angeibiwa mchana kweupeee abaki mpole tu kama cole.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nikiweka ushahidi hapa nitapigaje hela?Weka ka ushahidi tukuamini
π€£π€£π€£ Yaani ashinde tu humu! Aposti mistari kama yote!Kesho ndo kesho ukipotea humu tu watu tunaanza kuhesabu misemo ya jirani msimu wa kilimo,mchana wa piiipiiii,usiku wa kupeana,siku ya ujiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallahi nna dollar 100 hapa! maana hiyo picha imekuwa kama kideo cha Gwaji.. ni fullu kusifiwa! hapana kuiokosa aisee!Sijui nianze kupiga hela? Nikianza kuchaji dola 50 kwa kila anayeitaka si ninaweza kupata hata pesa ya kununua ka iPhone kabisa?
Picha ni moto balaa na tangu nizaliwe sijawahi kuona mtoto mkali kama huyu wallahi. Dondosha $50 nikurushie fasta ushuhudie uumbaji wa Mola uliotukuka..
Wazee wa Nyanda za Juu wameshagonga 80 na officially wameritaya na haya mambo. Ni wakati wenu sasa maandaeitini. Ila mkitaka ushauri wahenga tupo...been there done that. Tatizo lenu ni kujifanya kuwa mnajua kila kitu na hii sometimes inawacost !!!Hahah! Mwezi unaisha huu trend zinarudi kwa wenyewe huko Nyanda za juu
Hahah! Usijali ila na wewe uchome tena nyama basiWoyoooo ugenini hadi raha uturushie picha za madikodiko ee
Dola 50 unazo? Nina shida na iPhone dada. Na hii ndiyo fursa yangu ya kutokea [emoji16][emoji16][emoji16]Kaka yangu kipenzi najua nikiomba kitu huwezi kataa [emoji4][emoji4][emoji4]
π€£π€£π€£ Kumbee..Cole alipigwa mchana kweupe akageuka kuwa Mfalme Suleiman na kuanza parables na mapambio. Hata Ankoo naye alibakiza kidogo anyang'anywe Nsamaka wake na KK na Moud. Mi kidogo Kitoo wangu atwaliwe na Bob 12 (Baba Viv). Wakati ule ilikuwa ukipotea masaa mawili unakuta jamaa wanataka kufanya yao...[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah! Utamuweza bro anajua kuzoom jamboπ€£π€£π€£ Bro ameshindwa kulalaaaa! Ahahaaa Davet wewe!
Capitapool ndio muhusika mpendwa mimi na hayo mambo wapi?Hivi huu ubuyu una kuhusu au ni Capitalpool sijaelewa nakoment bila kujua ππ
Nimeshatembea zaidi ya nchi 20 hapa duniani na kuona wanawake wa kila aina ila huyu wifi ni habari nyingine. Mpaka nimemtungia kashairi kabisa wakati hisia zikiwa kali ili nisije nikasahau...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bro ameshindwa kulalaaaa! Ahahaaa Davet wewe!
Aisee punguza iwe 30Dola 50 unazo? Nina shida na iPhone dada. Na hii ndiyo fursa yangu ya kutokea [emoji16][emoji16][emoji16]
πππCole alipigwa mchana kweupe akageuka kuwa Mfalme Suleiman na kuanza parables na mapambio. Hata Ankoo naye alibakiza kidogo anyang'anywe Nsamaka wake na KK na Moud. Mi kidogo Kitoo wangu atwaliwe na Bob 12 (Baba Viv). Wakati ule ilikuwa ukipotea masaa mawili unakuta jamaa wanataka kufanya yao...[emoji16][emoji16][emoji16]
ππππngoja ajeCapitapool ndio muhusika mpendwa mimi na hayo mambo wapi?
Bro kila akifumba jicho mtoto huyo akigeuka huku anaona kucha mpapaso,aking'atwa na mbu anahisi mrembo kamuibukia kiaina[emoji23][emoji23][emoji23]π€£π€£π€£ Bro ameshindwa kulalaaaa! Ahahaaa Davet wewe!
Aisee... Bustani nzimaMaua nilimkabidhi tangu jana...
View attachment 1117859