mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yuriupo sahihi mapicha yanaleta hamasa ya wanaume kuongeza morali ya kutafuta zaidi.
weka picha nikupe like
Poti ana ugumu wowote nitafukua kaburi alikuwa anatuma maua kwa carba
Cc SHIMBA YA BUYENZE mzee wa data naomba post ya poti anatuma maua kwa Carba
Hajauza dhahabu, jamaa aliuza almasi kwa dola 1.5m ila siyo mimi mkuu[emoji16][emoji16]Jay Z amekuwa mwanamuziki wa kwanza bilionea
Siku zote mtu uanza kwa kupima bila kujali atafanikisha au la ongera mr Carter kwa kufika apo ulipo unastahili ongera yani mziki umekufanya uwe tajiri akika ww icon wa mzikiwww.jamiiforums.com
ina maana jay z alikuwa anazidiwa mkwanja na billionea moudgulf ?
si nimesikia jamaa ameuza dhahabu yake kwa billioni moja wiki mbili zilizopita
Kwon Yu-Ri (κΆμ 리) fashion king drama
mkuu acha masihara yakoHahahahaha, mkuu wote tunaisoma namba [emoji16][emoji16]
ππππ tupunguzie picha za madini.
sisi wengine hatujawahi kuyaona madini ya gharama kwa macho