Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivyo hiyo imekuwa ni sababu kubwa sana kwanini Google wanatoa kiasi kikubwa cha pesa, sababu ikiwa ni kuendelea kutengeneza faida sababu wateja wake kwa kiasi kikubwa pia wanapatikana katika bidhaa za Apple!
 
Hahahaa,[emoji1787][emoji1787]
 
Hahah!

Bora umeleta ata na evidence kabisa
Nimezisoma tafiti zote mbili:

1. Android ina watumiaji karibu 80% duniani kote.

2. Watumiaji wengi wa iPhone ni wanawake. (Hawajasema sababu hasa ni kwa nini).

3. Watumiaji wengi wa iPhone ni waongeaji sana (extroverts) na wanajiona kuwa wao ni wa tabaka la juu (matajiri) hata kama sivyo.

4. Ikitoka iPhone mpya na wasiwe na uwezo wa kuinunua wanapata msongo mkali wa mawazo ( acute depression).

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…