Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbali na huyo Play Maker, Mimi code zimegoma kwa Mmarekani Mweusi na Server [emoji16][emoji16][emoji16]
mmarekani mweusi mida yake mara nyingi ni mwanzoni mwa usiku wa manane si unajua kuna utofauti mkubwa sana wa muda kati ya california na kolomijee.

kuhusu bwana server kiukweli sina ugomvi naye japokuwa mzee wa tottenham hotspurs ananitengenezea ugomvi wa lazima.
 
Hahahahaha, umepata kibali cha jirani ama...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…