capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Asalam alaykum kakaHaha
Hahahaha aisee hii comment ni yako mpendwa au umekosea.Afadhali wewe unajibiwa. Mimi nilifokewa tu "Sipendi maswali!". Na hapo alikuwa bado kafunga. Imagine asingekuwa kwenye mfungo ingekuwaje? Hata vibao si ningeambulia? Kuanzia siku hiyo nimeufyata [emoji16][emoji16][emoji16]
Nije unipe sahivi ama ndo umegawa huko ulikokua leo?Jana nimekwambia tukutane maeneo umekataa ajabu una niuliza tena ulikuwa wapi?
Kwa Trump huko hizi unakwenda tu unachagua kama unavyochagua nguo. Wanafanya background check ya uwongo na kweli na kama huna rekodi ya uhalifu unaondoka na kifaa chako bila noma. Hatari sana !!!
Abee mpendwa nimefika
Kesho nayo siku
Good night Tanzania
Good night wanalikes