mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahaNaogopa kukujibu maana unamiliki AK47[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheza sana hiyo mkuu
Kweli hana cha kupoteza wacha aende MadridNafikiri ni muda wa kuaga, lakini katika soka lolote linaweza kutokea. Ndoto yangu ni kucheza Ligi Kuu England, nimeitimiza kwa kucheza hapa kwa miaka saba sasa. Labda sasa ni muda wangu wa kutafuta changamoto mpya,” alisema Hazard.
Hatari sana siasa za TanzaniaMbunge mwingine mwenye nongwa huyu kama Bashe na Nape kwa maneno ya chakubanga. 2020 asahau kurudi mjengoni nduli na dikteta wa magogono yuko busy kuimarisha Bunge DHAIFU.
Siasa za upinzani ni ngumu sana TanzaniaKama litaenguliwa, group lote hili (na pengine Januari pia) 2020 litahamia CHADEMA au kwa ZZK...na kwa vile linajua mbinu zote naamini azma ya wananchi itatimia.
Usawa upo wewe unapenda misaLinatafuna mabinti wakali dah !!!
Duniani hapa hakuna usawa !!!
Couple ya Jay Z na Beyonce hii imedumu vizuri sanaAt the face-off between the Golden State Warriors and Toronto Raptors, Jay-Z and Beyonce sat next to Nicole Curran, wife of Warriors owner Jacob S Lacob, who appeared to have a lot to say to the power couple.
Hahaha unawish ungekuwa wewe kumbe poti una ugumu wowote chama kinakushindaNakwambia huwa wana wa parade mabinti wote wazuri toka vyuoni huko, halafu jamaa lina point tu, yule pale! [emoji23][emoji23]
Naona kashindwa kuongoza soka la Afrika hii game marudio ya final inamtafuna sanaFifa imethibitisha kuwa rais wa shirikisho la soka barani Afrika Ahmad anahojiwa na mamlaka nchini Ufaransa.
Taarifa kutoka kwa shirikisho la soka duniani Fifa linasema kuwa anazuiliwa kutokana na madai kuhusiana na jukumu lake kama rais wa Caf.
Iliongezea kwamba Fifa haijui kuhusu maelezo kuhusiana na uchunguzi huo hivyobsi haiko katika nafasi ya kutoa tamko kuhusu swala hilo.
Ameanza kuwa dikteta kama mtangulizi wakeFifa imeitaka mamlaka ya taifa hilo kuipatia habari ambayo huenda sawa na uchunguzi wa maadili unaondelea katika kamati yake.
Ahmad ambaye ni waziri wa zamani wa Madagascar aliripotiwa kwa kamati ya maadili ya fifa kwa madai ya ufisadi na unyanyasaji na katibu mkuu wa Caf Amr Fahmy. Baadaye Fahmy alifutwa kazi.
Huu mchoro una siri ganiEpic Masterpiece....Da Vinci'sView attachment 1120308