Siku niliyooa watu wengi hawakujua…na haimaanishi sikuwa na pesa ya kununua koti au gauni la harusi kwa mke wangu, sikuona kama vitu hivyo ni vya msingi sana."
"Tulienda hapo kanisani pete tukanunuliwa na Padre, tena zilikuwa za shaba. Padre pia alitununulia soda, nakumbuka mimi nilikunywa pepsi na mke wangu alikunywa mirinda...Baada ya hapo nikaenda zangu lab (maabara) kuendelea na shughuli zangu."
huyu jamaa angelikuwa ni muhindi ndoa ingelivunjwa siku hiyo, siku saba za mwanzoni mwa ndoa unakwenda maabara kufanya uchunguzi wa panya bin korosho