Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro, whati izi zisi?
Fungua Bro, Fungo uliisha toka Juzi😃Bro, whati izi zisi?
Alok Menon: 'Pengine maisha yangekuwa tofauti kama ningelinyoa nywele zangu mwilini, lakini kwanini iwe hivyo?'
Alok Vaid-Menon ni mshairi na mwana harakati wa kutetea wanamitindo waliozaliwa na jinsia mbili (kiume na kike) katika mitandao ya kijamii. Lakini mara nyingi watu hukemjeli.
Mara ya kwanza alipoifahamisha familia yake kuwa ana jinsia mbili na kwamba angelipendelea kuangazia zaidi jinsia ya kike, swali la kwanza lilikua , "Lakini una nywele nyingi sana mwilini! Utapata tabu sana kuzitoa zote ili upate muonekano wa kike, kwa hivyo achana na wazo hilo."
Familia yake iliangazia zaidi nywele nyingi alizokuwa nazo mwilini kiasi cha kumzuia kujitambulisha kwa umma kama mwanamke.
View attachment 1121590
Ramadhani imeisha mnaanza mambo yenu 😟😟😟Chaputa utawajua tu
Inanipeleka IG na sina akaunti huko....Fungua Bro, Fungo uliisha toka Juzi[emoji2]
Usinifanyie hivyo buana. Hiyo ni nguo em tizamaRamadhani imeisha mnaanza mambo yenu 😟😟😟Chaputa utawajua tu
alizaliwa na baba punda na mama nng'ombe"Mara ya kwanza alipoifahamisha familia yake kuwa ana jinsia mbili..."
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Kwani familia yake haikujua? Hawakumwona alipokuwa mtoto?
Ni nguo Bro, naona Gucci wamebuni vazi jipya la ufukweni.Inanipeleka IG na sina akaunti huko....
SawaUsinifanyie hivyo buana. Hiyo ni nguo em tizama
[emoji818][emoji818][emoji818]Ni nguo Bro, naona Gucci wamebuni vazi jipya la ufukweni.