Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heshima yako MzeeBaba mmh

Napata wasiwasi page ya ngapi tena maana heshima hii Mimi sistahiri kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

I have been many things since the begging of this long lasting thread from Mlaini to Mgumu, mlaini again Mgumu again. I even don’t know what I’m anymore [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatari sana
 
Yes of course sio wote wanaolia pia nafikiri sababu uliyotoa ipo na alizotoa bro pia zipo
Au unaonaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh sio wote waliochezewa na mijibaba ...ingawa wanalia..
Wengine wanaolewa na first or second boyfriend tu... wanaliaga pia..
Wengine wakiwa very happy wanalia tu...

Wengine ndio hivyo kidume kisumbufuuuu kama wanaofunguaga nyuzi za kuwachoka mademu wao humu huku wamekaa nao miaka kibao ..sasa hao kwanza kwenye harusi hawaliagi ila wanacheza na kufurahi balaaa
 
Tehetehetehe
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…