Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeweza kudownload.

Nina mavitabu mengi ya kila aina hata ya field yako hapo Mlimani. Sema tu kama unataka bro naweza kusaka kwenye maktaba yangu (1.5+TB)...
Nimepakua kwa simu imegoma kufungua ngoja nijaribu niconnect PC ....

Ngoja bro nikihitaji utanitumia taratibu taratibu pia navihusudu zaidi vilivyobase kwenye Elimu ya kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…