Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nini mchango wako kuhusu hili bro kuna ukweli wowote kwenye huu ujumbe mchungu na mzito
Afu usikute inside ni muoga tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]ndo maana anatisha wenzie na viukatili vyake!Dogo katili huyu dah !!!
Ila madikteta wote wako hivyo. Wako paranoid na wakati mwingine wanaonyesha ukatili huu ili tu kuwatisha watu.....na wengi huwa hawana mwisho mwema.
Wanakera sana[emoji52]Homo Sapiens ni kizungumkuti... Teribo animo evaaaa !!!
Itabidi tuwaulize wale singo kama kweli[emoji17]Hii inatokeaga kweli? Relationship problems while you are not in a relationship?
Wewe hauko singo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Itabidi tuwaulize wale singo kama kweli[emoji17]
Huu ni mtizamo wa Ngugi wa Thiong'o na unaungwa mkono na watu wengi (mimi nikiwemo). Ni ukweli usiopingika kuwa wamishenari wa kwanza walitumiwa vyema sana kama waandalizi wema kumuandaa Mwafrika kisaikolojia ili atawalike kirahisi...(Mamlaka yote yanatoka kwa Mungu, Ukipigwa shavu la kushoto geuza na lingine...). Wakafanikiwa sana kumwaminisha Mwafrika kuwa alikuwa ni kiumbe duni asiye na ustaarabu, kiumbe wa bara la giza asiye na mchango wo wote katika ustaarabu na maendeleo ya dunia. Ngozi nyeusi ikageuzwa nembo ya shetani na madhila yote yanayoambatana nayo. Lugha za Mwafrika zikaitwa duni zisizo na mawanda mapana ya kimawasiliano. Dini zake zikatwishwa ushetani. Utamaduni wote ukavurugwa. Dunia ikaaminishwa kuwa Mwafrika hajatoa mchango wo wote wa maana katika maendeleo ya dunia hii.Nini mchango wako kuhusu hili bro kuna ukweli wowote kwenye huu ujumbe mchungu na mzito
Tupige kura humu nani zaidi Messi Au CR7
Playing local tu jirani. Total magufulification. Hili linapaswa kuangaliwa kimfumo zaidi. Kubadilisha mfumo mzima wa kodi na kuondoa masheria yote haya kandamizi ili kodi ziendane na hali halisi za watu na biashara zao. Kutumbua watu na kukuru kakara zingine hizi hazitabadili cho chote. Vinginevyo wafanyakazi wa TRA wataendelea kuwa mabilionea tu kuanzia mfagizi na msafisha vyoo mpaka Mkurugenzi Mkuu.Utekelezaji...
Nimeshasema Messi ataambulia kura mbili tu. Ya Davet na Cole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Heri tupige kura tukate mzizi fitina