Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatizo ni kuongea mbali na simu hii kitu mimi siwezi kuvumilia nijue tu ukweli kina zungumzwa kitu gani [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata ikiongelewa kwa sauti kali mkiwa mnaangalia TV ?!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi sio kwamba sipendi ila sitaki aongelee mbali, labda nimruhusu mwenyewe baada ya kujiridhisha kutokana na vicheko vyake vya kiumbea na kusutana...
Siwezi kuichunguza simu ya wife. Ninacho fanya huwa ni ukaguzi wa kushitukiza, kuna wenzie wa huko mashuleni hawakati tamaa kutongoza, zaidi ya miaka 15 anatongoza tu. Nikiikuta namsaidia kumjibia halafu namwambia SMS ya fulani nimekusaidia kuijibu. Baasiii.
 

Ndiyo ndugu yangu u FBI muhimu kiasi chake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutafanyaje ili kujinasua na utumwa huu ? Ila nisikuchoshe, nimelisoma bandiko lako ulilo mnukuu mzee Ngugi. Waafrika tumekwama pakubwa
 
Aisee nimecheka hapo "Namwambia sms ya fulani nimemsaidia kujibu" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Moudgulf na Mzee wa liver. Punguzeni picha za majoka. Wenye phobia za ukweli wanateseka mpaka wanatishia kuhama uzi jamani uwii mane lavusi mi indeed wallahi !!!. Afadhali muweke picha za mende na tandu tutavumilia [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila niabu kwa uzee wetu huu kuogopa tandu na mende
 
Mmmh anko mbona unaniuwa je kama nilikuwepo duniani[emoji23][emoji23][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…