Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 1123928
Unataka umwangalie mchezaji bora wa muda wote safi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1549]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nataka nishuhudie mauaji ya pili uwiiiii labda aende na kikosi cha barca
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti hakati tamaa..
Hivi huwa ni nini?
Mpaka nafikiri huwa mnaweka bucket list kwamba kabla sijafa lazma nimkukule Naniliu.. Yaani persistence ya miaka jamaniii
Ingekuwa uhai unapangwa na mwanaume, haki ya nani tungekuwa tumefungua saving account za wanawake wa kuoa. Yaani unaoa Jesca, baada ya miaka 2 anakufa unaoa Mwajuma ndala ndefu, baadae Prisca,.... Hadi account inaisha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna mdada nilianza kumtongoza nipo darasa la 5 yeye la 7,alivyo maliza tu akaolewa ila mimi sikukata tamaa kuandika vibarua vya mapenzi, Mungu jeuri, nikafaulu nikapangiwa shule ya mbali. Tangu 1990 ndo nimekuja kuonana nae 2017,ana watoto 9,nikamkumbushia ombi langu kiutani (ningekuwa na tamaa) wala hakubisha.Kibaya zaidi mume kaja naye kuniona msibani, nikajisemea tu "wanaume ndio chanzo cha haya yote".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…