Hahaha...umetia chumvi bwana watoto 9?Ingekuwa uhai unapangwa na mwanaume, haki ya nani tungekuwa tumefungua saving account za wanawake wa kuoa. Yaani unaoa Jesca, baada ya miaka 2 anakufa unaoa Mwajuma ndala ndefu, baadae Prisca,.... Hadi account inaisha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna mdada nilianza kumtongoza nipo darasa la 5 yeye la 7,alivyo maliza tu akaolewa ila mimi sikukata tamaa kuandika vibarua vya mapenzi, Mungu jeuri, nikafaulu nikapangiwa shule ya mbali. Tangu 1990 ndo nimekuja kuonana nae 2017,ana watoto 9,nikamkumbushia ombi langu kiutani (ningekuwa na tamaa) wala hakubisha.Kibaya zaidi mume kaja naye kuniona msibani, nikajisemea tu "wanaume ndio chanzo cha haya yote".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenitoa huko nilikokuwa nimejificha, ila nakwambia hivi; hiyo 1982 nilikuwa Cambridge huko, UK ( Siyo Ukerewe)! Nilikuwa nakula book la PhD! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Kaniua kiaina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikajua hujaiona hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nani mchokozi hapaSipendi mauchokozi yako bhe! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiBora usiangalie unaweza ukaja na kumfungia riziki hata goli kadhaa asipate
Wivu ni kidonda ujue tena kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mnyama kweli kwenye league za wakulima huko
Kaniua kiaina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nani mchokozi hapaView attachment 1123942
We acha tu huyu Moudy atanifanya nihame huu uzi...Mambo ya kuota usiku mijoka ya nini
Mchana wanaweka picha za mijoka inayo tisha usiku chui, simba yaani [emoji848]
Moudgulf na Mzee wa liver. Punguzeni picha za majoka. Wenye phobia za ukweli wanateseka mpaka wanatishia kuhama uzi jamani uwii mane lavusi mi indeed wallahi !!!. Afadhali muweke picha za mende na tandu tutavumilia [emoji16][emoji16][emoji16]
Aaah mgumu bana soma alama za nyakati jamaa anashukuru,ushahidi chogo ya bibie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume tulivyo na mahesabu makali jamaa hapa anaweza hata kulia machozi, ili mradi tu afanikiwe! [emoji23][emoji23][emoji23]... Ila wewe mkorofi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa anko ,nipo nimepozi hapa nansio sio kwa akina yego[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1123931