Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Wivu ni kidonda ujue tena kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yegomasika, Bradha, Davet, ningendako, Numbisa, capitalpool, Fragaria, jakitoo, ledada na wenzenu woote humu nasema hivi disko ya mwaka 1982 (wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa) ya Krisimasi ikiwa ni hepibesidei yangu, Mjomba angu (Rip) alikuwa ndio wa kwanza kumiliki redio kama hiyo kijijini kwetu na ilitumika kuburudisha wanakijiji wote siku hiyo.
Mimi ndiye nilikuwa mtunza kaseti na betri mpya kwa ajili ya kubadilishia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu niliona majuzi ule mwaliko wa graduu, hongera sana ndugu yangu. Tumekaa wote tuition za Mtendeni na Mnazi mmoja pr/sc usinisahau ukianzisha kakibanda ka kuchomelea vibatari vya kuvulia samaki
Aaah mgumu bana soma alama za nyakati jamaa anashukuru,ushahidi chogo ya bibie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah, hii picha jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu ni mwema ankoo,maisha tu... View attachment 1123926
Aaah mgumu bana soma alama za nyakati jamaa anashukuru,ushahidi chogo ya bibie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante,Mzima MoudgulfNawe pole
Aah unauliza vibaragara mashulen hasa primaryMpira ushawekwa kwapani siyo? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye ubuyu uchunguzi muhimuila wewe Mimi niliiona kwenye whatsapp group lakini sikuelewa chochote kile, Aisee upo vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nywele zimepeperuka!
Asante,Mzima Moudgulf
Shinyanga/Geita/Simiyu/Mwanza/Musoma na pengine Tabora ila likely mikoa minne ya mwanzo...the point is Wasukuma wapo kila mahali. Hata Mbeya wapo tena wengi sana...