Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
🤣🤣🤣 eeh unarelease kwanza movie halafu unaikanaNitaikana G cha mtoto [emoji16][emoji16]
Unakuta mko mnaendesha foleni ya ajabu halafu mtu mbele anasimama ghafla gari zote nyuma yake zinascreech...Misambwanda aisee ina mvuto wa ajabu. Utafikiri tumerogelezewa. Tena ukute ni ule mdebwedo hasa unameng'enyuka barabarani aisee hata kwenye mtaro unaweza tumbukia. Hovyo kabisa !!!
Yah Man..Airee
Huyu aliendika bango amuone Ras Simba kwanzaView attachment 1124068
Men will always be men! [emoji23][emoji23]
It was not an accident!
😁Pambana tu na hali yako
🎶
Aisee,ni kweli kabsa ankoo,mwaka huo hata sikuwa nafikiliwa..Yegomasika, Bradha, Davet, ningendako, Numbisa, capitalpool, Fragaria, jakitoo, ledada na wenzenu woote humu nasema hivi disko ya mwaka 1982 (wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa) ya Krisimasi ikiwa ni hepibesidei yangu, Mjomba angu (Rip) alikuwa ndio wa kwanza kumiliki redio kama hiyo kijijini kwetu na ilitumika kuburudisha wanakijiji wote siku hiyo.
Mimi ndiye nilikuwa mtunza kaseti na betri mpya kwa ajili ya kubadilishia.
Ha ha ha mzee mwenzangu,feedback iko poa sana,mambo ni mazuri kwa kweliItakua inaenda vizuri maana jana hapa kaniambia yupo Tanga anaoshwa huku kakalishwa kwenye kigoda
Cc ningendako
Hi sis, i hope you had a good wkend there.
Ngoja niitikie tu,maana tumeambiwa tusalimiane kwa salamu hii angalau mara 20 kwa siku...[emoji3] Asalaam Aleykum Mateka
Mambo vp bro??Hi sis, i hope you had a good wkend there.
🤣🤣🤣 Translate kwa kiswahili hii ...
Hapa tunahitaji Feedback ya ningendako kuhusu Biashara ya hijab
Itakua inaenda vizuri maana jana hapa kaniambia yupo Tanga anaoshwa huku kakalishwa kwenye kigoda
Cc ningendako
Ebhana eeehe kumbe amefikia hatua mpaka ya kufunga Safari ndefu ya maili nyingi kweli ukufunzi kama pep Guardiola [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]