Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
Badili Tu huku watoto hawatakiwiUtanifanya nibadili jina sasa
Anko Acha Povu rudia kusoma uzi Acha ujingaSasa sisi tutajuaje kama hauzi uchi, siri ya ofisi inatabgazwa ovyo
Avator yako tu inaonyesha unajiuzaAnko Acha Povu rudia kusoma uzi Acha ujinga
Kuna mtu alinikomalia huko MMU kunipiga laki tano nikamkumbuka bro Ninge alivyolizwa kwa kuahidiwa bando la chuo lisiloeksipaya nikagangamara naye mpaka akaomba po. Humu ni kama mtaani tu na ukizubaa unalizwa tena asubuhi na mapema [emoji16][emoji16][emoji16]
Jf hii utapeli mwingi
Naombeni msaada wa gharama za matibabu mwanangu umri miaka 6 ameungua moto - JamiiForums
Ndugu zangu habari za kazi! Naitwa Evaline jonathan kizwili, Naishi Tegeta Dar Es salaam ni mama mjane Mume wangu aliniacha na watoto watatu, Ndugu wana zangu ilikuwa Jumapili iliyopita tar 9/6/2019.Mwanangu alitoka kanisani ibada ya watoto,Alipofika nyumbani aliyakuta maharage jikoni wakati...www.jamiiforums.com
Dah
WanaJF Msaada Tafadhali
Wakuu habarini za majukumu! Ukiona mtu analia ujue kuna jambo. Naleta kwenu ombi la msaada ili nipate angalau unga wa kula ili familia yangu nayo isherehekee sikukuu ya idd kama familia zingine. Nilikuwa na kaakiba mwanangu akaugua ugonjwa wa nimonia , nimekatumia kaakiba kote, japo nashukuru...www.jamiiforums.com
Utakufa mapema sana na utaishi maisha ya hovyo ajabu !!!
Kuna kimoja hapo kina masikio wakati wenzake wote hawana [emoji16][emoji16][emoji16]
Tayari wanajenga au ni michoro tu bado?
Enzi za JK ndo ma papaa haya yalitawala kwa sababu pesa zilikuwa nje nje...Ndama mutoto ya Ng'ombe
Alitoweka ghafla. Sijui kama yupo kwenye majukwaa mengine huko. Natumaini kuwa ni mzima huko aliko [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za waliokotwa jalalani. Umenikumbusha jamaa mmoja kwenye uzi huu kwa jina Rutashubanyuma. Yule jamaa alikuwa busy kwenye uzi huu haijawahi kutokea [emoji23][emoji23][emoji23]alibadilika kabisa namna anajadili hapa jamvini na kuachana na forums nyingine zote alizokuwa anapenda kuchangia mada mbali mbali.
Kwenye uzi huu ukimsemesha hajibu [emoji23][emoji23][emoji23]yuko busy kupost tu kuanzia asubuhi mapema hadi usiku wa saa tano au zaidi. Sijui kapotelea wapi yule mtu. I hope he still kicking.
Hakika broKuna kimoja hapo kina masikio wakati wenzake wote hawana [emoji16][emoji16][emoji16]