Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hehehe! Huyu mhenga wa kuchora anayo shida kweliBasi miaka ya 70 kabisa nikiwa na tumbo kuubwa la last born wangu nimefua manguo ya kutosha anika juani kitu chini aiseee kidogo nipigane na kamba[emoji125][emoji125]
#mhengamie
ππ
π€£π€£π€£
πππWeekend hii iwe njema kwetu wooote
Machozi ya furaha!Mimi sijui nikoje naweza kumpenda mwanamke ila akinikubalia tukifika chumbani naona aibu kumchungulia
Yaani mwanamke akivua nguo zake mpaka ya ndani kabisa akabaki uchi wa mnyama Mimi huwa machozi yananitoka nalia halafu namuaga nakimbia. Sijui yale machozi yanatokaga wapi
Sio Mara moja au mbili huwa nawaacha wanawake wenyewe vyumbani
Yaani sijui kwanini naogopa uchi wa wanawake kama nini sijui.
Sasa mtoto mdogo ndio akitaka kukojoa karibu yangu huwa namfukuza kama mbwa au niondoke Mimi hata kama nipo ugenini
Hivi hii inasababishwa na nini?
Hehehehe hebu hukoHehehe! Huyu mhenga wa kuchora anayo shida kweli
#usitusumbuenauhengawakobandia
Na huko kukimbia kwake ni kukimbia kwa furaha? πMachozi ya furaha!
Mbona ni kawaida tu...
Cry me a river
Haamini ametunukiwa!πNa huko kukimbia kwake ni kukimbia kwa furaha? π
Heheh!!Hehehehe hebu huko
#leocopaamericaujue
#teamargentinaaampoooo