myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asipokufa hatarudia tena...Msaada,bleed wiki mbili mfululizo
Tarehe 06/06/2019 usiku mimba ya miezi mitatu iliporomoshwa kwa maksudi,mporomoshaji alikuwa akibleeda kwa maumivu makali sana,siku sita baadae akaenda hospitalini kusafishwa,baada ya hapo damu ikakoma ukawa unatako uchafu tu , hiyo hali imeendelea mpaka jana ambapo nikamshauri mporomoshaji...www.jamiiforums.com
Putin tayari keshachimba mkwara kwamba US watapata taabu sana. Anasema ana kombora ambalo shield ya Waisraeli na Wamarekani haiwezi kulizuia na kwamba Mido Isiti nzima itawaka moto...
Akina Ann Coulter, Rush Limbaugh na group zima wamemchimba mkwara kwamba akianzisha vita anaweza asishinde uchaguzi 2020. Aliahidi kuiondoa Marekani vitani na kurudisha wanajeshi wote nyumbani na si vinginevyo. Akitaka kushinda kirahisi wamemwambia afunge mpaka na Mexico na atimize ahadi ya kuwasomba wakimbizi wote kuwarudisha makwao kama alivyoahidi wiki hii. Naona amewasikiliza. Bolton si ajabu kanuna balaa...
Ni sahihi kabisaAsipokufa hatarudia tena...
Atubu dhambi hiyo kubwa, Amrudie Mungu na kila kitu kitakuwa sawa..