Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini, sasa kinachoelezwa ni kwamba Juventus wameonekana kushinda vita hiyo ambapo wamedaiwa watambeba De Ligt kwa dau la Pauni 62 milioni na kumaliza utata wote wa beki hiyo atakwenda wapi kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi.
unajua kwenye mechi ya ureno na holland cristiano ronaldo alimwambia de ligt aende juventus bwana mdogo akaishia kucheka.
 
Hii ni dunia ya wababe !!!
View attachment 1134838
baadhi ya nyakati mpaka inafikia hatua unahoji maamuzi ya mungu kwa nini alimuumba mamba?
hawapi wenzake raha wanapokuwa na hamu ya maji, cha ajabu yeye muda wote yupo majini wala hakerwi?
mamba ana wivu wa kipumbavu kuliko baradhuli (gay) anapomuoena wivu mwanamke kupewa matiti na sehemu ya mbele ya siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…