Pole sanaNilikua napambania afya mpendwa, Asante kwa kunikumbuka
Hahah! Chizi kweli wee 😂Hahahahahahahaha ee maana ukiwepo utazima server kwa uzinduzi
Pole sana
Hakitaki broMtoto wa Baba
Davet
Capitalpool
Nimeweka tena hiki kitabu kwa kutumia PC. Nijulisheni kama safari hii mnaweza kukishusha kwa kutumia PC au simu. Ikishindikana sasa itabidi tutumie emails...Kwenye TECNO yangu kinaonekana vizuri tu na nimeweza kuishusha attachment bila tatizo...
View attachment 1133026
[emoji106][emoji106]
Kwema ndugu yangu. Nafurahi kukuona hapa tena. Hopefully kila kitu kiko salama. TUMSHUKURU Mungu [emoji1545][emoji1545]Hahah! Sio issue ya Nywila bro wewe acha tu...
Vipi lakini Kwema?
Whai?Lower your Expectations