[emoji1][emoji1][emoji1]Habari njema hii, Mungu azidi kuwapigania
Naona ulikuwa unaona malalamiko yangu hapo [emoji23][emoji23]
Huyo jamaa anajua sana ila maji ya leo ni marefu kwaoHaha naimani na Super Eagle,,Samwel Chukwueze
Sana bro,ngoja tusubiri hadi kipenga cha mwishoHuyo jamaa anajua sana ila maji ya leo ni marefu kwao
Mfatilie fundi Mahrez 😀Sana bro,ngoja tusubiri hadi kipenga cha mwisho
Huwa unapenda presha za kujitakia duh kisa maherezi ukahamia algeriaTeam Algeria tujuane
Dahhh [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kautinyo na neima akili zao kama miguu ya messi akiwa argentina. Vijamaa hivi viwili vinatakiwa vijumuishwe na wanyama kule burigi kupewa somo la kuishi na wanadamu vizuri na kufundishwa kuwa tamaa ni mbaya sana
Hee kumbe aiseee kuna wadada flan wamebarikiwa na wameyazoea
Ndio team pekee iliyoonesha kiwango bora mpaka sasa kwenye hii michuano, nipo sehemu salama kabisaHuwa unapenda presha za kujitakia duh kisa maherezi ukahamia algeria
Sema kuyanyonya huwa yanakimbiaga.Halafu mazito kuyakusanya pamoja (nimeingilia tu maelezo sijui ndo yenyewe!!) muda wa kuyanyonya...Hee kumbe aiseee kuna wadada flan wamebarikiwa na wameyazoea
Huwa unapenda presha za kujitakia duh kisa maherezi ukahamia algeria
Jirani kheri huko? [emoji16][emoji16]
Namfatilia bro,bado tunawasoma[emoji2]Mfatilie fundi Mahrez [emoji3]
That's my Ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema kuyanyonya huwa yanakimbiaga.Halafu mazito kuyakusanya pamoja (nimeingilia tu maelezo sijui ndo yenyewe!!) muda wa kuyanyonya...