Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Inawezekana ikawa kweli. Yu neva no [emoji16][emoji16][emoji16]
kuna wasichana kufumaniwa nao si dhambi wala aibu kubwa.Kufumaniwa noma [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1155173
Samaki wana majina mengi. Bongo vituko vingi mno.Sato wanapimwa na rula? Huu uvuvi huu itabidi nianze kuufanyia tuition; mabambala! [emoji16][emoji16]
Hata hivyo mtu anaweza kupata picha za kuambiwa akichanganya na zake. Kuna maandaeitini humu tungeweza kuwazaa kama isingekuwa kucheleweshwa na shule [emoji16][emoji16][emoji16]Nimeshitukia issue Bro,nilikuwa naingia mzima mzima[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji818][emoji818]
wengine kwetu ni saa 7 usiku19:13
Dah.. safi sanaUtotoni hawa tumewala sana. Mtu mpaka unabeba kwenda nao shuleni kama snack [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh!! Ngoja niwatokeeHere they come...
View attachment 1155143
Wasema eti ukifumaniwa na mtoto mkali kuna unafuu? Kufumaniwa kufumaniwa tu japo nakubaliana nawe kwa kiasi fulani. Kama una mke/mpenzi hakikisha kuwa unayefumaniwa naye ni moto zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]kuna wasichana kufumaniwa nao si dhambi wala aibu kubwa.
kimbembe ufumaniwe na msichana wa ovyo kama miss zumbukuku ndio utajutia, halafu unakuta mwenye msichana anataka kukulipizia kisasi.
mamaaaaaaa ukitoka gesti housiiii mwili wote umechoka kama uliyetumikishwa na jeshi la samurai
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bro na wewe unauwa kabsaHata hivyo mtu anaweza kupata picha za kuambiwa akichanganya na zake. Kuna maandaeitini humu tungeweza kuwazaa kama isingekuwa kucheleweshwa na shule [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii safi sana wala haijakutoka kiroho safi hii usizuge [emoji16][emoji16][emoji16]Dah.. safi sana
Tumepoteza muda mwingi sana kwenye kusoma. Ningejanjaruka nikazaa wakati niko 20 dogo angekuwa na umri kukuzidi bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bro na wewe unauwa kabsa
Aah bwana weee.. wengine tunawaona wakiuzwa barabarani tuu..Hii safi sana wala haijakutoka kiroho safi hii usizuge [emoji16][emoji16][emoji16]
Aah bwana weee.. wengine tunawaona wakiuzwa barabarani tuu..
Ni kama wengine wasivyokula pweza na prawns