Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Huyu jamaa bhana View attachment 1155277
Hahahaha naona ume bold kabsa hyo dogo,,,sio poa hahah
Kwema sana asee, vipi hapo?Kazingua kweli
Habari gani lakini kwema
Ngosha the don orijino. Baba akiongea vimbegu vyake kimya hakuna kubanja wala kupiga mihayo
Duh kumbe,basi waungane na mie kule celebrity forum nikijisikia kutaka ligi naenda chokoza timu domo siku inakua tamu sana hahahaMitandaoni humu wenye stress ni wengi sana Binti Mpole
Hahah! Noma sana aiseeNgosha the don orijino. Baba akiongea vimbegu vyake kimya hakuna kubanja wala kupiga mihayo
Kwema sana asee, vipi hapo?
Kabisa,waanzie kanda ya ziwa hasa huko kwa wakurya ni shidaHahahaha Baba ndiyo mwanzo ndiyo mwisho
Baadhi ya tamaduni zinahitaji kufanyiwa reformation
Duh kumbe,basi waungane na mie kule celebrity forum nikijisikia kutaka ligi naenda chokoza timu domo siku inakua tamu sana hahaha
Kabisa,waanzie kanda ya ziwa hasa huko kwa wakurya ni shida
Nakutamani twende head to head league ya Messi na Ronaldo lakini najua utanishinda tu nitaishia kucheka tu na kukimbia
Kweli malalamiko kibao kama mtoto wa kambo hayatakiwi..... Nasikia huko Nou camp jamaa mgeni haongelewi kabisa mazoeziniHapa powa Tu, hakuna kulalamika Mkatalunya naona siku inaisha isha hiyo
Mbali na hio. Kuna ndoa za utoton za kutosha ,ukeketaji nje nje na mambo mengi ya ajabuHuko kunaitwa kanda Maalumu yaani civilization ni ndogo sana, kuna yule ticha alimpiga panga Binti mdogo sasa unajiuliza je huyu mwalimu ni Chizi
WanamuogopaKweli malalamiko kibao kama mtoto wa kambo hayatakiwi..... Nasikia huko Nou camp jamaa mgeni haongelewi kabisa mazoezini