AmeenAsante Fraggy.
Mungu Akatubariki sote na kutuongezea ridhiki [emoji1545][emoji1545]
Umekesha leo Moudy...04:11.
Asubuhi njema wana
Wow..what a moment!
Fitness Alert!!!
π Uzito unapungua hahaha tutakunywa madumu!FAIDA ZA KUNYWA MAJI MWILINI
1: Kupunguza uzito: Kunywa maji mengi kunasaidia kupunguza uzito, kwani maji hayana mafuta, kalori wala sukari.
Ray the Greatest ni mfano hai hapa ...[emoji16]5:Ngozi nyororo: Unywaji maji ya kutosha kila siku unaweza safisha ngozi yako na kuifanya ionekane nyororo.
Jenny from the block
Hata wewe ngozi yako ni mfano haiπRay the Greatest ni mfano hai hapa ...[emoji16]
Aaa wapi. Wengine tumekomaa sababu ya matatizo na uhenga....Hata wewe ngozi yako ni mfano haiπ