Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Safiii
 
Mwajiriwa hupumzika kwenye likizo lakini mjasiriamali hutumia likizo kufanya kazi zaidi

Kwa kawaida waajiriwa hufurahia muda wa likizo kwa sababu ndipo hupata muda wa kupumzika. Hali ni tofauti kwa mjasiriamali kwani hana likizo, na ikiwa ni mjasiriamali aliyeajiriwa, basi atatumia likizo yake kuendeleza mradi au biashara yake.
 
Mwajiriwa hulenga kupanda cheo lakini mjasiriamali hulenga kukuza mradi wake

Mwajiriwa kila mara anafanya kazi kwa bidii ili apandishwe cheo au aongezewe mshahara na marupurupu. Mjasiriamali kila mara huwaza na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza au kuendeleza mradi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…