HahahaMikikimikiki ya Usukumani kale hakawezi katakwenda kujifia tu hamna kitu. Kanastahili mwanaume wa Dar [emoji817] [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh! Mambo ni mapana sana kumbeHapana. Mabadiliko (hata ambayo hayakukusudiwa) yanapojitokeza na kuathiri huduma yako inabidi uyazingatie. Hawa jamaa wana followers mamilioni na ndiyo hasa wanaisukuma IG kubakia kileleni. Huwezi tu kuwatupilia mbali. Youtube wamepelekwa mahakamani kutokana na tabia yao ya kufungia channel za watu bila huruma hata kama mtu anategemea channel hiyo kuendeshea maisha yake. Na watetezi wa haki za binadamu na masuala ya ajira wanasema wataishia kulipa mamilioni ya dola. Youtube wamesema wataunda timu itakayokuwa inapokea malalamiko ya watu waliofungiwa akaunti zao na kuyashughulikia kihalali. Platforms hizi zinaendeshwa na watumiaji; na watumiaji wana haki pia.
Salama pia.Tupo tunapambana bro.Salama Bro,uzima upo huko?vipi familia?
Likizo tayali broππ
UNAPAMBANA UPO VITANI NDUGU AUππππ.....TANZANIA SIJUI TUPO VITANI UKIMUULIZA MTU HALI YAKE ATAJIBU ANAPAMBANASalama pia.Tupo tunapambana bro.
Duh!!
[emoji818][emoji818]Huo wembe hautamkata au ni yale yale ya mtoto akililia wembe mpe?
View attachment 1156715
[emoji106][emoji106]
SafiiiMawingu mpaka juu ya vilima dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1156729
Nywele hizo...
Mkuu, halafu hii vita ni hatari sana kwasababu haumwoni adui.UNAPAMBANA UPO VITANI NDUGU AUππππ.....TANZANIA SIJUI TUPO VITANI UKIMUULIZA MTU HALI YAKE ATAJIBU ANAPAMBANA