The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji38][emoji38][emoji38] [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1] full kunenepa apo,eti Uji dah..!Supu ya kuku muhimu kama una wa kujidekesheapo. Pata na uji pia. Ule mzito mzito kidogo wa joto joto [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Marahabaaaa TH. Ngosha The Don himself here. Za siku mbili tatu? Usiwe unapotea hapa bana...
Subiri Numbisa na BAK wakija.One girl in his life
One club in his life
God of Football, baller, magician, talented footballer
View attachment 1161797
Hahah! Aende tu eksivideos au ile nini huby akapoze machungu hukoJamaa wajanja sana. Kuna jamaa nimemuona mahali anasema ana siku tatu hajalala anasaka hii video na sasa yuko depressed. Jamaa analalamika vibaya sana utafikiri kalazimishwa...
Wabongo wako macho kwenye porn balaa dah [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38] [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1] full kunenepa apo,eti Uji dah..!
Za sku mbiki tatu, Njema sana....hofu kwako The Don.!
Heaven sentOne girl in his life
One club in his life
God of Football, baller, magician, talented footballer
View attachment 1161797
Anasema liUwoya laivu likikamuliwa ndo pona yake kwa sababu ndiko akili yake imegotea huko kwa hizi siku tatu tangu habari zianze kuvuma.Hahah! Aende tu eksivideos au ile nini huby akapoze machungu huko
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]Heaven sent
Hehehe! Kweli hii noma sanaAnasema liUwoya laivu likikamuliwa ndo pona yake kwa sababu ndiko akili yake imegotea huko kwa hizi siku tatu tangu habari zianze kuvuma.
Wabongo wakikomalia kitu ni noma !!!
Hahah, mie nimekuwa officially member hapa, naskiaga hadi poti,binti mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miye niko salama kabisa...Huko wako vipi?
Wataka/Wapenda kunenepa?
Wewe tayari officially ushakuwa mwenyeji. Kama na The Don unamfahamu basi ushamaliza kozi ya ugeni. Na juzi nilikusikia unamuita King... Karibu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro huyu kijana sio kosa lake maana akipenda kapenda balaa hadi avatar anabadilisha. Ukimpa bet kidogo tu mbiooo maana beti ilimmaliza kabisa makopa kopa yakaisha na kuyeyuka milele
Epl ikianza utamuona vizuri mzee wa jumong na konyagi zake hahahahHahah, mie nimekuwa officially member hapa, naskiaga hadi poti,binti mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda kunenepa japo si sana..!
Huku wanaendelea vyema kabisa.!