Mimi nataka kuupatia Moyo wako sehemu salama ila wewe unakua mzito kunisikiliza. AyaLeo kazi nnayo Jamani[emoji125]
Ai kenti du zat,#nimeiona
Yu leti mi dauni
Ai bilivu oni yuAi kenti du zat,
Nipo Bro.. Shikamoo
Nimebanwa this week kama mjusi...
I am multitasking...[emoji28]
Ntakuja lipiza likes sijui lini Wallahi...
If you can run there's no need to hide.Oh there is no need to hide
Huyu mwakyembe anatafuta balaa na Mashabiki wa Simba
Ujamsikia Leo angalia hapo juu nimetupia utumbo wakeAmefanyaje tena
"Mfumo wa hisa kwa vilabu vya kijamii yani vilivyo anzishwa na wananchi basi wawekezaji watabaki na 49% na wenye timu yao watabaki na 51%, hiyo 49% ni kuanzia watu watatu nasio mmoja, wenzetu kule ujerumani ni kuanzia watu saba"
By.
Mwakyembe.
"Katika kusimamia huu mfumo wa mabadiliko tuliwapa Tff ndio wasimamie ila wamechemka kidogo kwa mambo ya kiufundi mpaka kuruhusu mtu kubaki na 49% peke yake, ila kuanzia sasa hili zoezi litasimamiwa na baraza la michezo, na nitaunda kamati maalumu itakayo kuwa na watu kutoka kwenye taasisi za kiserikali na Tff kuhakikisha kusimamia swala la kubadili mifumo kwa klabu"
By.
Mwakyembe.