mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Amun RaAmani itawale jioni yetu..
HakikaDC tu fujo zote hizo aisee vijana tunafail wapi sijui?
Umri wa kugombea urais kwenye katiba usiguswe kabisa maana akipewa nchi kijana tutaona mengi ya ajabu
Mkuu unatusahau sana wakulima au hatustahili poleWafanyakazi wote poleni
100% naunga mkono hojaBila kumung'unya maneno...
Vijana kwenye uongozi wengi wenu hamfai !!!
Huwa anatoa pole kwa wote.Mkuu unatusahau sana wakulima au hatustahili pole
Wengi wakipewa madaraka wanafeli kabisaKipindi cha nyumba hapo,vijana tulipiga sana kelele kuhusu kupewa madaraka,,,baada ya vijana kuanza kupewa madaraka hali imekuwa tete kuanzia kwa kina Masha,Bashite na wengineo....
kifupi hatufai hatuna weledi na mambo ya uongozi japo sio wote wanaolewa madaraka.
Wa kati kati ndo best. Na ndie alienipa mzuka wa kufatilia soka na kulipenda jina la ronaldo