Aaah potiUkiwa MGUMU ina maana hakuna uzinduzi. Karibu mtaa wa pili basi, kwa nini ujipe presha za Pogba bana. [emoji16][emoji16]
Hongea sana jirani
Sana,haipiti siku sijausikiliza JamaniTH unaupenda huu wimbo ee?
Humu ndani kuna mwana CCM Kitandakindaki ana jazba kwelikweli lakini tumeishi naye.
Humu kuna mwana CHADEMA Kitandakindaki naye pia tumeishi naye kwa furaha.
Watu wakiwa hapa siku zote wamekuwa tofauti kabisa, wanaongea lugha moja, tofauti zao wanaziacha kwenye majukwaa mengine. Kuwa amani mkuu