Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaume wengi wamekuwa wakivutiwa na vazi hili na kupatwa na msisimko zaidi pale anapomuona mwanamke akiwa katika vazi hili na kufikiria kuwa wanawake wanovaa vazi la ndani la bikini ni wazuri zaidi ya wanaovaa chupi/nguo za ndani za kawaida hivyo wengi hujikuwa wakiingia katika uchaguzi mbaya wa wachumba kwa sababu ya kuangalia mavazi.
 
YAFUATAYO NI MADHARA YA KUVAA BIKINI

Japokuwa wanasayansi na watafiti wa mambo ya mavazi wamethibitisha kuwa hakuna madhara makubwa yanayotokana na uvaaji wa bikini,lakini vazi hili likivaliwa mahali ambapo si mahali pake linaweza kusababisha madhara yafuatayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…