Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Ndiyo. Ataiona...Vipi kwa mtu ambae hajakuignore akamquote mtu aliekuignore utaona hiyo post?
Been there. It will give you chills...Alcatraz Federal Penitentiary
The Alcatraz Federal Penitentiary or United States Penitentiary, Alcatraz Island (often referred to as Alcatraz or The Rock) was a maximum security federal prison on Alcatraz Island, 1.25 miles (2.01 km) off the coast of San Francisco, California, United States, which operated from August 11, 1934, until March 21, 1963.
Basi kama ni hivyo hizo ignore nimechezea sana kwa demu wake Mzee wa LiverNdiyo. Ataiona...
Vijana wanahitaji elimu hawa. Romantic wanaambiwa ni foreplay tu wakati hawajaanza kufakamia utelezi. Kumbe hata mke/mpenzi wako kurudi home akakukuta umeshasafisha nyumba, umepika, umemwandalia maji ya kukoga...Hata kumfuta maji akitoka bafuni. Kumpaka mafuta. Kumkanda miguu akifika home. Kumsifia mbele ya watu na kumwonyesha kuwa she is everything to you. Kumkumbusha mara kwa mara kuwa unampenda sana. Kwamba ni mrembo ajabu. Kwamba ni mke mwema sana kwako na kwamba unamshukuru Mungu kila siku kwa ajili yake. Kupika naye pamoja jikoni huku mkitaniana. Kumletea vizawadi vidogo vidogo avipendavyo (mf. Tunda alipendalo). Kumsikiliza...and the list goes on and on. Romance kwangu naichukulia kuwa ni mfumo mzima wa maisha katika ndoa/mahusiano unaolenga kumfurahisha mwenzi na kumwonyesha kuwa ni wa thamani sana na ni nambari wani katika maisha.Naona umemsisitizia.Safi sana bro.
#MamboAdimuHaya
Hapo zamani wakati akiwepo hapa uzini?Basi kama ni hivyo hizo ignore nimechezea sana kwa demu wake Mzee wa Liver
Safi sana...Liverpool habari zenu tunazo msijifiche kwenye kichaka cha post ya million [emoji23][emoji23]View attachment 1165903
Basi kama ni hivyo hizo ignore nimechezea sana kwa demu wake Mzee wa Liver
Safi sana...
Amun Ra na makonyagi yao kimyaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah!Safi sana...
Amun Ra na makonyagi yao kimyaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Sababu nilikua sitoi upendo kwenye posts zake. NahisiHahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] ulimfayeje bro?