Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

“Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye BWANA ana heri.” *Mithali 16:20*

Asante Mungu kwa Neno lako asubuhi ya leo. Ni Jumatatu nyingine iliyopata kibali mbele za Mungu wetu sisi kuiona, jua kwamba lipo kusudi la wewe na mimi kuwa hai na Wa afya njema siku ya leo. Basi usilipoteze kusudi la Mungu katika maisha yako kwa kutafakari maneno ya wanadamu ya kukatisha tamaa, ya kukuvunja moyo, ya kukurudisha nyuma na kukutoa kwenye lengo bali tafakari Neno la Mungu utapata mema na umwamini yeye na utapata heri.
Nakutakia wiki njema.Mungu abariki uingiapo na utokapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…