Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna conspiracies nyingi kuhusu hao jamaa. Wengine wanasema kulikuwa na boti nje inawasubiri. Kuna wanaosema kwamba wiki hiyo nzima kulikuwa na mikondo mikali sana ya maji tena ya chini kwa chini na likely jamaa walikumbwa na mikondo hiyo wakafurushwa mpaka bahari kuu huko wakaliwa na papa. Wengine wanadai jamaa walikufa na miili yao ilipatikana ila ikafanywa siri. Kila mtu ana nadharia yake...I see.
Wajamaa waliotoroka walinikosha sana.Sidhani kama walikufa maji.Kama walikufa maji ingebidi angalau mmojawapo mwili upatikane.
Akili waliyotumia kutengeneza vinyago na kijidirisha cha kuziba shimo ni ya hali ya juu sana[emoji119][emoji119]
Code sijaielewa hii bro...Bro SYB huu ugeni utapona kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
No, that's cheating. You should let me ask the question, you just choose between truth or dare
Nifafanulie hii code TH....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji571]
Wasukuma wana huruma sana.
Tukijaliwa kesho mpendwa ishaalahNilimiss sana hilo cheko, hujui tuuπ
I see,Kuna conspiracies nyingi kuhusu hao jamaa. Wengine wanasema kulikuwa na boti nje inawasubiri. Kuna wanaosema kwamba wiki hiyo nzima kulikuwa na mikondo mikali sana ya maji tena ya chini kwa chini na likely jamaa walikumbwa na mikondo hiyo wakafurushwa mpaka bahari kuu huko wakaliwa na papa. Wengine wanadai jamaa walikufa na miili yao ilipatikana ila ikafanywa siri. Kila mtu ana nadharia yake...
Mpendwa ulale unono,.Tukijaliwa kesho mpendwa ishaalah
Nenda room 1001307ππCode sijaielewa hii bro...
Yote kwa yote mimi hapa ni mshereheshaji tu. Sina madhara yo yote. Nitasavaivu bila shaka [emoji16][emoji16]
Bro, salama?Mpendwa ulale unono,.
Utapona hapa tu ila PM mambo ni fireeeBro SYB huu ugeni utapona kweli ππππππππ