Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapo Kamanda, hata kwenye uzi huu wapo wanaojua mapenzi na maana ya upendo.
Fanya utafiti,
Utafiti nshaufanya...na nikauchapisha kwenye jarida rika (peer reviewed journal). Kuna vighairi (exeptions) vichache katika hitimisho langu la jumla...[emoji16][emoji16][emoji16]

Naelewa kamanda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…