Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
TAYARI mchezo umeisha. Wakubwa wameafikiana kwamba Romelu Lukaku aende Juventus na Paulo Dybala aende Manchester United. Hii ni kiroho safi bila ya ugomvi na anayesubiriwa kwa sasa ni Dybala kukubali dili hilo.
Wala nyama wa kweli tutakujua tu [emoji16][emoji16][emoji16]Naweza nisile nyama na nikazuga na tooth piki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajinga sana hao watu. Bora kagame kabana haya makanisa yanayozuka kila kukichaKwa sasa kila kitu kwenye Ugalatia kinawezekana aisee. Yanafanyika mambo ya ajabu sana. Huyu jamaa aliyemleta huyu yesu wake nasikia ana waumini kibao tu na hapo hata akiwaambia wauze vyote walivyonavyo waende na huyo yesu trust me wengi tu watafanya hivyo. Na wengine utakuta ni wasomi kabisa hata kiwango cha PhD....
Kwa msingi huu kumbe binadamu yeyote anaweza kumanipuletiwa akijaa kwenye 18 za majamaa.....Japo kajipachika cheo cha uHomo Sapiens, binadamu anaweza kurubuniwa kirahisi tu mpaka hata kujitoa uhai wake. Ndivyo cults nyingi zinavyofanya kazi. Ni mind manipulation tu wala hakuna cha ajabu sana japo huku kwetu na nguvu za Lucifer si ajabu zikawa zinatumika.
Waafrika hatuna kawaida ya kufatilia matatizo ya kisaikolojia na hatuna wataalamu waliobobea,mwisho wa siku wanaibuka manabii wa uongo wanazoa kijiji cha machizi wanaojiona wapo sawa ila wamerogwa tuSasa hapo huu upuuzi wanaokuanao unaletwa na nini, hao wachungaji wanayo nguvu ya ziada kupumbaza waumini wao au ni imani binafsi tu ya waumini?
Wrong mkuu tumeshafikisha milion mojaSoon huu uzi utafikisha msg laki moja.
Kwa hizi takwimu inaonyesha Man U wanatoa Mbuzi wapewe Mbuzi
Wala nyama wa kweli tutakujua tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilimaanisha pages. Sorry.Wrong mkuu tumeshafikisha milion moja