Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Anza na @ andika jina la huyo jamaa.Aisee, hivi una mtag vp mtu ili apate arlate kuwa umemtag? Nataka nimshtue jamaa yangu aje apate likessss huku
Kula likes zangu kwanzaBora nikae hapa maaana......
Hiyo labda nitaipata...150k kwanza
Naomba ushahidi. Unaweza ukatuma vitu viwili na ukapata namba zinazo fuatana ila uki refresh inabadilika.Aisee! Wabongo sisi noma. Ufisadi mpaka kwenye likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. I didn't know that this is serious. Uniq njoo ujibu tuhuma!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sammyliv rapperNilidhani Sammyluv ndiye aliweka ile link. Au hii ni id yako nyingine (Sammyluv?)
Hopefully....Next time mama
Welcome backBora nikae hapa maaana......
NimewaonaAti nini?
Mmh it takes one to know oneSasa kitu kimoja
Mshindi wa 100k ni sammyluv
Mtu unawezaje kudelete comments ili upate ushindi wa kuwa namba 100,000 baada
Sema tu sikuchukua screenshot, as nilikuwa namba ...2 na nilimuona namba ...1 na namba 100000. Ambaye ni sammyluv
Sasa haya ya kuleta upupwu baada kwa kweli jione kama haufai kuwemo humu, kufikiri watu hawana akili. Mii nikiamha kufuta zangu na yule akaamua na yule si kila mtu atakuwa wa post ya 100,000
Hii ni gemu
Na sio kuleta wivu
Huko maishani mnaishije, duh jisikitikieni kabisaaaaaaaaaaaa
Bali kama ni mods iweje leo ndio waondoe comments na sio siku za test eeeeh... na namini hakuna anayepost kibaya humu kwa uzoefu wangu cha kuondolewa.
Ni hayo tu
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Watakucharaza ban bageshi. Hawapendi watu kuweka external links zinazowatoa watu katika forum yao. Remember - the more you stay, the more adverts money they get. Be careful kwani ban na uzi huu ulivyo mtamu dah. Na ukija kurudi unakuta Kichwa Kichafu kapanga msururu wa Totoz!
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]hahahahahaaaa nikipigwa ban siku moja tu nikirudi utakuwa na like 40000
Nilidhani Sammyluv ndiye aliweka ile link. Au hii ni id yako nyingine (Sammyluv?)
Hahaha...Wataumia moyo tu usiwaite
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sema bro. Ndiyo naenda kumchukua kutoka job!
[emoji5]hekima za ''carb-maglass''