Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wakatalunya ni kina nani??
Mkuu naomba unitag ukijibiwa, maana nami naona kama kichina vile.
Kwenye uzi huu utapata shida sana kama una wivu. Kuna majamaa hapa, makatalunya na hata wafalme kabisa wenye falme na tawala zao...
Enhe, ngoja nideke sasa..!
Shikamoo The don himself[emoji16], za Jumanne??wajionaje na hali..![emoji4]