Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kitakachompata hatakaa asahau...[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaa, jamaa anaingia anga za mfalme mkuu anayeongoza Himaya yake[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Umbo la ukweli..
March 16. 2019?
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Ukiona unasifiwa na mabeberu wa Magharibi basi jichunguze"
....and totally unprofessional....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
AiseeWarembo wa Duniya
View attachment 1173798
Jioni iwe njema kwetu wooote
Ukiona wanafikia hata kumtukana mkuu wa nchi jua maslahi yao yameguswa. Na wanaweza kufanya hivi tu kwa vinchi hivi masikini. Hata siku moja huwezi kuwakuta wanamtukana Putin au madikteta wengine tena wa ukweli achana na hivi uchwara uchwara. Ukiwa upande wao wanajichotea raslimali wanakufumbia jicho hasa kama uko dikteta kiasi gani (Saddam na hao uliowataja)...Mabeberu siyo wabaya, enzi zao walimsifia sana Husein Mubarak, Mobutu Seseseko, Ali Abidine Ben Ali, Ngwazi Kamuzu Banda na watu wa aina hiyo[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Jamani. Siyo fea [emoji16][emoji16][emoji16]Zoooote.
Wema hauozi [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1173805
Wema hauozi [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1173805