Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na hao ndiyo wanatingisha dunia kwenye urembo kwa sasa. Acha tu nibakie na majimama yangu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Aisee
Kweli kabisa. Tena mara nyingi mwaweza geuka kuwa maadui...Ni watu wachache wanaoweza kukumbuka mema waliyotendewa
Salama bro,habar za majukumu?Salaam ninge
HahahaNgoshaaaa,burigi orijinoView attachment 1173753
Kitakachompata hatakaa asahau...[emoji16][emoji16][emoji16]
WaohFlamingos kama wote NatronView attachment 1173814
Kweli kabisa. Tena mara nyingi mwaweza geuka kuwa maadui...
Salama bro,habar za majukumu?
Nadhani ni sense of guilty kwa upande wa msaidiwa. Akija kuinuka anashindwa kukubali ukweli kuwa uliwahi kumsaidia na asingefika hapo alipo bila msaada wako. Ukimsaidia mtu, hasa siku hizi, hesabu kuwa ni sadaka tu na uende zako kabisa kabisa hata msijuane tena hata kama ni ndugu...Hivi inakuwaga nini hasa, unamfanyia wema binadamu mwenzako kwa moyo mmoja badaye anakugeuka na kukuona adui yake bila sababu yoyote.
Ni kitu gani hasa?
Inatisha sana
Akifikia kwenye jiwe akazimika itakuwaje? Shwaiini [emoji16][emoji16][emoji16]
Lazima tu ufurahie. Huwezi kujizuia japo kidogo ishu za hivi?Hahaha