Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha, nimekusoma.
Ila kuna himaya bado zina nguvu, na baadhi ya maeneo ya himaya husika huna ruhusa kupata mke/mchumba mpaka upate kibali cha Mfalme.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ufalme ulihitimishwa enzi za Buganda na Banyoro Kingdom, siku hizi ukimpenda mtu chap unamsanukia, maana hapa hujaingilia ufalme wa mtu ila umejiingiza kwenye penzi shirikishi! Asante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…