Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ndani ya uzi huu sipendi kukwaza watu ila nje ya hapa uwiii najisahau sanaaigooo umeuliza swali huku ukiwa umejawa na khofu ya kukutana na shetani dhihaka aliyejawa na uchafu wa majibu.
kwa kuwa ni ibada ya lazima kwa kila muislamu mwenye uwezo basi itawalazimu jinsia zote mbili kutekeleza ibada
upo sahihi, kwa mfumo huu wa maisha ni ngumu sana kukusanya millioni 11 zisizokuwa na chembechembe ya dhuluma yeyote ile.Aiseee kumbe gharama ndefu. Ila wachache sana wanaoenda kwa pesa halali
upo sahihi, kwa mfumo huu wa maisha ni ngumu sana kukusanya millioni 11 zisizokuwa na chembechembe ya dhuluma yeyote ile.
========> kwanza huruhusiwi kukopa fedha ya kwenda hijja.
ushahidi wa hadithi:
Kutoka kwa Abdullah bin Abu Auf (Radhiya Allaahu βanhu) amesema:
((Nilimuuliza Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu βalayhi wa sallam) juu ya mtu asiyewahi kuhiji iwapo anaruhusiwa kukopa kwa ajili ya kuhiji?β Akaniambia; βLa, (asifanye hivyo)β.)) [Imepokewa na Al-Bayhaqiy]
=========> huruhusiwi Kuhiji Kwa Mali Ya Haramu
ushahidi wa hadithi
Imepokewa kutoka kwa At-Tabarani kuwa Abu Hurayra (Radhiya Allaahu βanhu) amesema: kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu βalayhi wa sallam) amesema:
Anapotoka mwenye kuhiji kwa pesa njema akauweka mguu wake juu ya kipandio cha mnyama wake, akasema: "Labbayka Allahumma labbayk", (Nakuitikia ewe Mola wangu nakuitikia) hujibiwa na msemaji kutoka mbinguni, "Labbayka wa Saβadayka (Mwitikio wako umekubaliwa na utafurahi kwa amali yako njema hii), kwa sababu zawadi yako (chakula na vifaa vyako) ni vya halali, na mnyama wako ni wa halali, na Hajj yako inakubaliwa na haina madhambi".
Lakini anapotoka anayeihiji kwa pesa za haramu akauweka mguu wake juu ya kipandio cha mnyama wake akasema, "Labbayka Allahumma labbayk" (Nakuitikia ewe Mola wangu nakuitikia), hujibiwa kutoka mbinguni, "Laa labbayaka walaa saβadayka. (Hakukubaliwi kuitikia kwako wala hutolipwa mema), kwa sababu vifaa vyako ni vya haramu na pesa zako ni za haramu na Hajj yako ni ya dhambi na wala haikubaliwi".
kibaya zaidi hata yale makombora ya bwana kiduku hayafiki mbinguni sembuse yule mwenye dhambi ya kudukua mawasiliano ya michepuko wa serikali, au yule anayeiba hela za walalahoi akajisifu ni hela ya mboga.Mbinguni mbali sana. Hope tutafika tu.
AiseeKocha wa Inter, Antonio Conte alitangaza toka awali kuwa Lukaku ndiye kipaumbele chake cha kwanza kwenye dirisha hili la usajili. "Ninamchukulia kama mchezaji ambaye anaweza kuboresha kikosi chetu," amesema Conte.
Fresh bro kwema?[emoji23][emoji23]Bro niaje
ππMungu akujaalieNaomba uniombee niende huko mwaka ujao.
Kutoonekana kwa Fragaria kwenye kipindi hiki cha Hija kunanipa shaka
ββHiija ni Ibada kama ilivyo kwa Ibada nyingine, inawahusu watu wa jinsia zote
ππMan u vs chelsick
πππππHilo zulia bab kubwa
#wakishua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji818][emoji818]Ibada ya Hijja inaendelea jijini Mecca[emoji120][emoji120]View attachment 1175497
Salama salimini sis.Salama kabisa. Za ulipo?