myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Marahaba Sis. Nane Nane njema kwako na wapendwa wako wote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwema Bro... shikamoo [emoji4][emoji4]
AmeenAmani itawale jioni yetu
Kidogo ugombane na bro mkubwa eeeeh !Wewe huna agenda nzuri namimi.
Ikibaki kidogo unigombanishe na bro mkubwa, baadae kidogo nikajiunga kwa wagumu ukautingisha msimamo wangu na leo unataka nigombane na Esta yena [emoji3][emoji3][emoji3]
#WakatalunyaPiaWatanimindKuwaInakuwajeUmeendaNjeYaWakatalugna??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
Fresh bro kwema?
[emoji120][emoji120]Mungu akujaalie
[emoji818][emoji818]
Hawakujui rolo modo wangu. Wamekuja wakakukuta ushapoa hadi kupoteza baadhi ya sifa za urolo modo wako. Waulizage [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nikibadilika huwa sijali nimekwaza yoyote.
#amfreezone