Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wamepotea wakati vijana wenzao wako hapa. Hashtags zingepamba moto hapa ingekuwa kufurahi tu yaani.

Wewe huko kwako kwema lakini? Bado uko kwenye baridi au umerudi kwa dada?
Kombinesheni ya hawa vijana inafurahisha sana. Naona nae Yegomasika anaenda nao sambamba kama wewe tu.
Namshukuru Mungu nimefika alfajiri ya leo salama. Kwema huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…