Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Na kamsemo kake ka if u die u die
Siombei hio kitu tutakosa likes sie haha
Duh!!!!Herrera apata pigo!
Ander Herrera atalazimika kusubiri kwa muda zaidi ili kuanza kuichezea PSG.
Mchezaji hyo wa zamani wa Man Uniuted ametuma ujumbe wa twitter wa picha yake akipokea matibabu ya jeraha la mguu alilopata katika mazoezi siku ya Jumatano, ambalo litamweka nje kwa wiki nne au tatu.Herrera apata pigo!
Ander Herrera atalazimika kusubiri kwa muda zaidi ili kuanza kuichezea PSG.
Mchezaji hyo wa zamani wa Man Uniuted ametuma ujumbe wa twitter wa picha yake akipokea matibabu ya jeraha la mguu alilopata katika mazoezi siku ya Jumatano, ambalo litamweka nje kwa wiki nne au tatu.
Ushadandia treni....[emoji16][emoji16][emoji16]hahahahahah, huyo hakufai.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nakutania. Mafao yapo yamewekezwa vizuri. Ni kula bata tu bana....Pulizi kamu [emoji1545][emoji1545]Woiii kama mafao umemaliza sikuhitaji[emoji23][emoji23]
Nataka at least yule anaetaka kwenda kuyashughulikia
✔✔Kieran Tierney ajiunga rasmi na Arsenal
Sasa ni rasmi beki wa kushoto wa Celtic Kieran Tierney atajiunga na Arsenal
Yaani thamani yangu kwako bageshi ni likes tu? Miaka yote hii tuko hapa pamoja? Vere sadi yaani [emoji24][emoji24][emoji24]Na kamsemo kake ka if u die u die
Siombei hio kitu tutakosa likes sie haha
Nshakaiba ka GIF kwa matumizi ya baadae