Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maumbile ya mwanamke yanampendeza kila mmoja, ndiyo maana biashara zote huambatana na picha za warembo.
Si umeona lakini mama wa watu alivyopendeza na pamba zake za ufukweni!!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2937]
Aione Numbisa comment hii haki vile nimecheka mno hapo ulipo hata nafsi inakataa kwa sifa hii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha wanawake mnapendaga sana kulishwa matango pori.
Ukitaka kuvunja nguvu za mwanamke, hata awe na kisirani cha aina gani mmwagie sifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hapo anajikuta ana Umbo nzuri halafu baadhi ya wanaume huwa wanatulisha matango pori mtu unakuta kama Mimi Sina chura lakini unakuja jamaa ana kusifia kinoma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha wanawake mnapendaga sana kulishwa matango pori.
Ukitaka kuvunja nguvu za mwanamke, hata awe na kisirani cha aina gani mmwagie sifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hivyo mnavyofanya sio vizuri ongeani ukweli mfano unaweza kunambia Hawachi una sura ya Mpoto sio kutujaza sifa oooh sura nzuri kama Biyonce kumbe nina sura ngumu zaidi ya Jiwe πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hivi kama una kimguu cha maana, una rangi maji ya kunde na hutumii mkorogo, ama umesheheni msambwanda kama anavyopenda Kamanda wangu[emoji23], hauna tumbo, sura ya kuvutia, sauti nyororo, jicho la pozi, nk, nk, nk.
Ukisifiwa na kuombwa urafiki kuna kosa hapo muhenga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha Mwanaume akikusifia usimuamini asilimia mia [emoji12]
 
Hahahahahahaha, kamanda umeanza kumwaga maujiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Raha ya treni kudandiwa kamanda, mi siku nikidandia treni ya mtu naomba watu wasinizodoe, maana najijua, nina shobo sana, nafanyaga kujizuia tu[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…