moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sana tu ndo maana wapaka rangi kucha ,,wauza duka na gengeni,boda boda hawakosi uji deile
[emoji125][emoji125]rararaaaa tararaaaa [emoji445][emoji444][emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443]View attachment 1177744
Amin..Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira wakaazi wa mji huo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakwambia wakina Simba wa buyenze, Bak na Capitalpool wamekuharibu tayari hukuwa na tabia hii kabla [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ajali hii huwa salama zaidi kwa waleviView attachment 1177745
Whaaaaaat?????uwiiiii anko ndo muanzisha misemo mingi humu akishirikiana na jirani kwa karibu mno. Hamna mpole humu
Kinachonishangaza hao wezi badala wahifadhi mahali ndipo wanywe hapo hawafikili endapo watatokea police
Ni kweli kabisa dadaangu, niombee upako unirudie
Ukisimamia ukweli utampata mwanamke gani? Unataka tufe na ukame wetu? Kwa mwanamke tuuwongo twa hapa na pale kunogesha nogesha muhimu sana [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha hivyo mnavyofanya sio vizuri ongeani ukweli mfano unaweza kunambia Hawachi una sura ya Mpoto sio kutujaza sifa oooh sura nzuri kama Biyonce kumbe nina sura ngumu zaidi ya Jiwe [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahaha, jirani[emoji23][emoji23]